Deuteronomy 24:18

18Kumbukeni kwamba mlikuwa watumwa huko Misri, naye Bwana Mwenyezi Mungu wenu akawakomboa kutoka huko. Hii ndiyo sababu ninawaamuru kutenda hili.

Copyright information for SwhKC